Somo la 11/21

Ukurasa wa 4/4 Mpango wa Kazi: Mambo unayopaswa kufanya kabla ya somo linalofuata

Mpango wa Kazi: Mambo unayopaswa kufanya kabla ya somo linalofuata

  • Tafadhali andika fikra na mawazo uliyokuwa nayo unaposoma haya. Kama inawezekana, yajadili na wazazi walezi katika kikundi chako na mwalimu wako.
  • Andika mpango wa namna utakavyofanya kazi kabla ya kuanza somo jingine. 
  • Andaa mpango wa namna unavyoweza kuhimili uhusiano wako wa kijamii na wazazi halisi. 
  • Ikiwa wewe au mtoto mnatumia simu ya mkononi au kamera ya video: Baada ya kuhifadhi vitu vyote ulivyorekodi kwenye kompyuta yako, hakikisha vinafutwa katika simu za mkononi au kwenye kamera ulizotumia kurekodia.

 

Asante kwa utayari wako wa kufanya jaribio hilo na kila la heri katika kazi yako hadi somo linalofuata.