Somo la 12/21

Ukurasa wa 3/3 Mpango Kazi: Vitu vya kufanya kabla ya somo linalofuata

Mpango Kazi: Vitu vya kufanya kabla ya somo linalofuata

  • Tafadhali andika tafakari na mawazo uliyopata wakati unasoma hili.
  • Andaa mpango wa namna wewe na mume wako mtakavyofanya kazi kuboresha uhusiano na mfanyakazi wa huduma za jamii.
  • Andaa mpango wa namna wewe na mume wako mtakavyofanya kazi kuboresha uhusiano na msimamizi.
Asante kwa utayari wako na kila la heri katika kazi yako hadi somo linalofuata!