Somo la 13/21

Ukurasa wa 5/5 Mpango kazi: Mambo ya kufanya kabla ya somo linalofuata

Mpango wa utekelezaji: Mambo ya kufanya kabla ya somo linalofuata

  • Tafadhali andika tafakari na mawazo uliyokuwa nayo kabla ya kusoma maelezo. 
  • Andaa mpango ni kwa vipi wewe na mwenzi wako mtasimamia mambo ya kiutendaji ya mawasiliano? 
  • Andaa mpango ni kwa vipi unaweza kusimamia uhusiano wa kijamii na wazazi halisi. 
  • Kama inawezekana, jadili mpango wako na msimamizi au mfanyakazi wa huduma za jamii.
Asante kwa utayari wako na kila la heri katika kazi yako hadi somo linalofuata!