Somo la 5/19

Ukurasa wa 5/5 Mpango Kazi: Mambo ya kufanya kabla ya kipindi kinachofuata

Mpango Kazi: Mambo ya kufanya kabla ya kipindi kinachofuata

  • Tafadhali chagua mambo mawili unayotaka kuyaboresha katika shughuli zako za kila siku hadi kipindi kinachofuata.
  • Andika uboreshaji wa aina mbili wa mazingira ya mtoto na mtoto anayejifunza kutembea uliyoamua kuyafanyia kazi.
  • Utafanya kitu gani tofauti na kuwa makini nacho zaidi wakati unapofanya shughuli zako?
  • Unapaswa kufanya nini tofauti katika maadili na utendaji wako kuhusiana na uchocheaji na mgusano wa mwili?
  • Utajuaje kama umefanikiwa?
  • Kariri, au rekodi mazoezi mapya kwenye redio au andika matokeo ya vitu tofauti unavyovifanya, na namna watoto wanavyoyachukulia tofauti hizo?
Asante kwa utayari wako na kila la heri katika kazi yako hadi somo linalofuata!