Somo la 8/19

Ukurasa 3/3 Mpango kazi: Mambo ya kufanya kabla ya kuanza somo linalofuata

Mpango kazi: Mambo ya kufanya kabla ya kuanza somo linalofuata

  1. Kwa kuangalia tathmini zako, unadhani ni mafanikio gani mazuri uliyoyapata katika kazi yako kama wazazi walezi?
  2. Je, mambo gani muhimu zaidi ambayo mmejifunza wenyewe kama familia mlezi?
  3. Je, mada gani ambazo bado utahitaji kuendelea kuzifanyia kazi kwa mtoto?
  4. Je, unahitaji msaada gani kutoka kwa mamlaka husika ili kuendelea?

 

Asante kwa utayari wako na kila la heri katika kazi yako hadi somo linalovuata!