Somo la 3/15

Ukurasa wa 6/6: Mpango kazi: Mambo ya kufanya kabla ya somo linalofuata

Mpango kazi: Mambo ya kufanya kabla ya somo linalofuata

Andaa mpango wa namna utakavyofanya kazi:

  • Tafadhali¬†andika mpango wa jinsi utakavyofanya kabla ya kuanza somo linalofuata.
  • Utafanyaje kazi kwa uvumilivu na ustahimilivu na mtoto?
  • Utafanyaje taratibu na kazi za kila siku ambazo zinamsaidia mtoto kujisikia kwamba yupo salama na utulivu, na kuhisi kuwa katika dunia inayotabirika ambayo haibadiliki siku hadi siku?
  • Andaa orodha ya kazi utakazojaribu kuzifanya vizuri na shughuli zipi/ muda upi wa mchana utakaozifanya.
  • Tafadhali panga jinsi utakavyofanya baadhi ya kazi hizi, ili uweze kuzionyesha kwao tena baadaye, na mtoto anaweza kuwa nazo kama kumbukumbu atakapokuwa mkubwa.

Asante kwa utayari wako na kila la heri katika kazi yako hadi somo linalofuata!