Somo la 2/19
Ukurasa wa 1/4: Kutoka familia ya mtoto hadi familia mlezii: Kupafanya nyumbani kwako kuwa mahali pako pa kaziKutoka familia ya mtoto hadi familia mlezi: Kupafanya nyumbani kwako kuwa mahali pako pa kazi


• Kupanga maadili mazuri katika familia mlezi.
• Kujenga uelewa wa namna maadili hayo yalivyo nyenzo ya kuendeleza malezi ya kitaalamu.
• Kuwaandaa wanafamilia kwa ajili ya majukumu yao mapya.
Katika somo hili la mafunzo utafanyia kazi mchakato wa kuwa mtaalamu wa sehemu ya matunzo na kutafuta ujuzi wa kitaalamu wa maisha ya familia yako.
Malengo ya somo:
Lengo kuu la somo hili ni kupanga maadili ya familia ambayo yatakuwa ujuzi wako wa kitaalamu katika kazi ya kuwa familia mlezi.