Somo la 7/15

Ukurasa wa 5/5 Mpango Kazi: Mambo ya kufanya kabla ya somo linalofuata

Mpango Kazi: Mambo ya kufanya kabla ya somo linalofuata

  • Tafadhali andika maoni na mawazo uliyonayo wakati ukisoma haya. Kama inawezekana, yajadili na mwalimu, mwenzi wako au rafiki.
  • Andika mpango wa namna utakavyofanya kazi kabla ya kuanza somo linalofuata.
  • Kama wewe au mtoto mnatumia simu ya mkononi au kamera ya video: Baada ya kuhifadhi kwenye kompyuta yako yote uliyorekodi, hakikisha yanafutwa kwenye simu na kamera mlizotumia kurekodia.

Asante kwa utayari wako na kila la heri kwa kazi yako hadi somo linalofuata!