Somo la 19/19
Ukurasa 4/5 Mada B: Hitimisho kuhusu kutumia programu ya FairstartMada B: Hitimisho kuhusu kutumia programu ya Fairstart
MAJADILIANO NA TAFAKARI
Dakika 20
- Kwa kuangalia maswali haya na majibu, je, mnaweza kufupisha ujuzi mlio nao sasa kama wazazi walezi wataalamu? Ni aina gapi tatu za ujuzi muhimu zaidi?
- Ushiriki wako katika mafunzo haya: Utatumiaje ulichojifunza ili kuimarisha ulezi wako ili kuinua hadhi yake katika mazingira ya wenyeji na kuwafanya watu waheshimu taaluma yako na watoto unaowatunza?
MAJADILIANO YA KIKUNDI AU TAFAKARI BINAFSI
Dakika 20
- Ushiriki wangu katika mafunzo ya Fairstart: Nitatumiaje nilichojifunza ili kuimarisha ulezi wangu ili kuinua hadhi yangu katika mazingira ya wenyeji na kuwafanya watu waheshimu taaluma yangu na watoto ninaowatunza?
- Ni maoni na mapendekezo yapi niliyonayo ya kuboresha programu kwa watengenezaji wa mafunzo ya Fairstart au wakufunzi/wasimamizi wa nchini?