Somo la 20/21

Ukurasa wa 6/7: Mada D: Maendeleo ya ujuzi kwa vitendo kwa watoto na vijana

Mada D: Maendeleo ya ujuzi kwa vitendo kwa watoto na vijana

 

Mada D inatoa mawazo na shughuli za kusaidia watoto na vijana kukabiliana vizuri na maisha katika jamii

Kutoka kuhudumiwa hadi kujitegemea

Masomo ya majaribio yanatuambia nini kuhusu maendeleo ya afya baada ya kuwa na utulivu?

Walezi wa SOS wanakuza ujuzi katika kujenga mahusiano ya kijamii. Wengine huanza biashara zao ndogondogo na kupelekea kujiunga na vikundi vya akiba nk.  Kwa watoto wao, kubadilika kutoka  kudhalilishwa  na utaratibu wa kila siku ndani ya makao hadi maisha ya kijamii inaweza kuwa changamoto kubwa mwanzoni – lazima wabadililike na kujifunza kuendana na mazingira mapya. Baada ya muda, uzoefu huu utawafanya wajifunze kujitegemea. Watoto lazima kujifunza kukabiliana mazingira mapya, kuzoea marafiki wapya na kuzizoea na kujifunza stadi mpya na kuzielewa ndani ya mazingira mapya: Mfano  namna ya kununua vitu kama chakula sokoni, kuomba punguzo la bidhaa sokoni, namna ya kupata usafiri wa shule, namna ya kulipia bili mbalimbali n.k.

Tamaduni za Kiafrika: Jinsi watoto wanavyojifunza stadi za kazi

Katika tamaduni za vijiji, kiasili watoto hujifunza stadi za kazi tangu utotoni. Kilimo kiliendelea kuwa kazi mama katika mazingira yao. Watoto walitizama na kuigiza shughuli za wakubwa, wazee, kaka na dada zao na kuwasaidia kutokana na umri wao. Hakukuwa na mgawanyo wa kazi wala muda wa burudani kama kuimba, ngoma na sherehe za msimu.

Ni kwa jinsi gani Walezi wa SOS wanaweza kutumia ufahamu wa tamaduni kufundisha watoto stadi za kijamii na vitendo­.

Kuchanganya stadi za vitendo na uhusiano katika kufanya kazi

In the foster family, children must be active participants in daily family life. This does not mean that they should do all house work. It’s important to find the balance between chores, school work, and play and leisure activities for each child. While teaching daily skills, caregivers can make relations work. To make them feel secure, talk with them about their feelings, worries, dreams and thoughts. In this way, they learn the practical skills they will need after leaving care, and they will feel proud and responsible.

Mifano ya kufundisha watoto na vijana balehe:

Fundisha stadi tangu utotoni!

Mlezi wa SOS anatumia hisia kufanya mtoto ajisikie salama. Anamfundisha namana ya kulinganisha hisia zake na matendo yake na pia namna ya kushirikiana na watu wengine. Hii inamfanya ajisikie salama na punde tu anajiona salama kuudadisi ulimwengu na kujifunza kuchez mpira.

 

 

Ujuzi na michezo kwa watoto

Hapa mlezi wa SOS anafanya kazi na watoto. Anawaongoza watoto katika ujuzi wa kutenda, na mwisho wa maongezi na watoto anawafanya wajisikie fahari ya kupata ujuzi mpya aliowafundisha – kufua nguo zao wenyewe.

Licha ya kuwafundisha stadi, anajua kuwa michezo ya asili huwafanya watoto wacheke na kufurahia maisha. Kucheza kunawafanya watoto wawe na afya njema, kudhibiti maisha yao, wajifunze kushirikiana, na jinsi ya kufuata sheria. Hizi njia za kiasili na michezo ya Kiafrika unayoweza kuitumia.

 

 

Stadi na shughuli kwa watoto wakubwa na vijana balehe

Kwa kadiri watoto wanavyozidi kukua, kuwafundisha stadi kunaendana na kuwafundisha maadili na kuwaandaa kwa maisha baada ya malezi ya makao kwa kujifunza ufundi na kujua jinsi ya kujilinda wenyewe – Hapa mlezi na baba wa familia  anaelezea namna ya kuwaongoza vijana balehe kimaisha kwa kuwa mfano bora kwao.