Somo la 21/21

Ukurasa wa 1/6: Kuunganisha watoto na familia zao za asili

Kuunganisha watoto na familia zao za asili

 

Tafadhali soma huu mwongozo wa meneja programu na walezi wa SOS

 

Utangulizi wa mada

Mada hii inatoa mwongozo wa hatua kwa hatua muendelezo wa vikao wa pande zote katika uunganishaji wa mtoto. Vikao hufanywa na meneja mmoja au zaidi wa programu ya uungamishaji wa watoto katika makao ya SOS CV pamoja na kina Walezi wa SOS. Masomo manne katika mada yanayoelezea hatua nne kwenye mpango wako ni:

Somo A: Utangulizi wa uunganishaji

Somo B: Jinsi gani kina Walezi na wafanyakazi wa SOS wanavyoandaa na kipindi cha mpito?

Somo C: Uandaaji wa uhusiano na kujenga ukaribu na mtoto  

Somo D: Uhusiano wa watendaji wa serikali, jamii na familia

Somo E: Kupunguza hatari kwa kufanya ufuatiliaji baada ya kumuunganisha mtoto na familia yake

Ujuzi unaotakiwa

  • Elimu ya kuungamanisha familia
  • Ujuzi wa kuwafanya walezi, watoto na ndugu zao wajihisi salama katika mchakato
  • Tathmini ya hali ya mtoto ya sasa na mahusiano baada ya kuungamanishwa
  • Uhusiano wa serikali, jamii na ndugu
  • Kupunguza uwezekano wa hatari wakati wa uungamanishaji

 

Lengo la mada

Mada hii itakusaidia kufanya kazi pamoja, na kuwandaa  kisaikolojia na uhusiano bora kwenye kijiji, ili kufanya watoto waunganishwe vizuri na wazazi au ndugu zao.